John 12:29-30

29 aUle umati wa watu uliokuwa mahali pale uliisikia nao ukasema, “Hiyo ni sauti ya radi,” wengine wakasema, “Malaika ameongea naye.”

30 bYesu akawaambia, “Sauti hii imesikika kwa faida yenu, wala si kwa faida yangu.
Copyright information for SwhNEN